Kazi anayoifanya Zitto kwa CDM inafananishwa na matap tap ya Heche?? Dah, kweli hapo hamna chama!
Tuko pamoja mkuu.
Kazi anayoifanya Zitto kwa CDM inafananishwa na matap tap ya Heche?? Dah, kweli hapo hamna chama!
zito si ndo anaetumika kuthibitisha kuwa chadema si chama cha kanisa, mkimtoa itakuwaje sasa! mwe
Kazi anayoifanya Zitto kwa CDM inafananishwa na matap tap ya Heche?? Dah, kweli hapo hamna chama!
Linamfaa mzazi wako.
We MBWA HARUKI utaanza kuuwawa wewe!Ndio maana Bible inasema usimwache mwanamke mchawi aishi, watu kama wewe ni wa kuuwawa!
Internal power struggle ndani ya CDM will cost the party dearly. Its time voice of reason prevailed.
Mkuu wewe ni CCM/CUF kwani ni lazima kila kitu cha CDM urukie?
Thank you for this useful postzito si ndo anaetumika kuthibitisha kuwa chadema si chama cha kanisa, mkimtoa itakuwaje sasa! mwe
Mkuu unaona mbalimkuu waache wapoteze muda, ni kampeni za uchaguzi wa mwakani zimeanza.
Watajimaliza wenyewe.
Mtaendelea kukiimarisha chama mpaka mtachoka! Msijali, mtapokea makapi ya kutosha kutoka kwetu, sisi ile cream yote inazidi tu kutukimbilia bila hata kutumia nguvu ya aina yoyote.Yawezekana kazi anayofanya heche isiwe na thamani sana kwako ila kwa chama chake na kwa wanachama ni lulu.
Kazi anazozifanya zito kwa sasa zina manufaa sana kwa chama na kwa Tanzania kwa ujumla.
Kila mwanachama wa CDM kwa wakati huu wa kikuimarisha chama anapaswa kuyafanya kila awezalo kuwatia nguvu Heche na Zito kabwe pia.
Kwa wana jembe na nyundo hii kwao ni misamiati............
Tafakari .....................chukua hatua..........................Vua gamba ........................vaa uzalendo..............
Matusi ya nini? Hapana shaka mada hii haina mvuto kabisa na utaishia kutukna watu wenye mawazo ya busara. Haiwezekani Ufananishe kazi anazofanya ZITTO na gharasha HECHE.We MBWA utaanza kuuwawa wewe!
Matamko yenyewe ni pumba tupu!!!John Heche ni mwanasiasa ambae hana mvuto wowote mbele ya watanzania labda mleta mada utueleze Heche kaisaidia nini Bavicha mpaka amrithi Zitto...kikubwa alichokifanya Heche ni kutoa matamko kila mwezi.