Wewe unafukira za ki-CCM eti kazi ya Zitto hakuna mtu wa kuifikia-hayo mawazo ni ya kizamani sana, kwa sasa wapo vijana wapya na wanapiga mzigo. Hayo mawazo yako ndiyo yaliyowafanya CCM waendelee kumtegemea kingunge ngombale mwiru katika ushauri matokeo yake ngombale akajikuta yeye ndiye mwizi wa mali ya umma (Ubungo stand). Kwa sasa CCM inamtegemea Wassira ambaye ameendelea kudhurum bei ya pamba kwa wananchi wa kanda ya ziwa!!!!!
ushauri nasaha sio kwenye vvu tu,hata watu kama wewe inabidi uupateKazi anayoifanya Zitto kwa CDM inafananishwa na matap tap ya Heche?? Dah, kweli hapo hamna chama!
Nimefurahishwa na mjadala unavyokwenda kuhusu mada hii.Naamini imeleta changamoto kubwa na viongozi wa CDM wayapime kwa uzito mkubwa maoni ya wadau wote hapa.
Namini chadema ni chama makini na wanauthamini mchango wa kamanda heche,pia kuhusu zitto kabwe anaonekana dhahiri kabisa ni kati ya viongozi wasiokuwa na msimamo na wenye tamaa ya madaraka nami naunga mkono john heche anaweza kazi zaidi ya zitto na pia tusitende dhambi ya kumlinganisha mh.rais dr wilbord slaa na zitto kabwe kwani ni dhambi slaa ni slaa tu a hakika nadhubutu kusema slaa ameletwa a mwenyezi mungu kwa watanzania yani baada ya nyerere ni slaa!!!!
Nasikia Heche baada ya kurudi kutoka Ujerumani hajatulia ofisini bali tayari ameshaondoka na yuko Sumbawanga kuongoza mapambano ya M4C.Ni wazi kijana huyo akiwa Naibu Katibu Mkuu,Dr Slaa atakuwa amerahisishiwa sana majukumu yake.
View attachment 67876sumbawanga jana
Heche ni mpiganaji wa kweli
View attachment 67876sumbawanga jana
Du...! Sasa hii ni hatari.John Heche anaweza kuvuta umati mkubwa hivi? Nisaidieni jamani.Sishangai kumbe ndiyo maana Dr Slaa kapumzika sasa hivi.