Silaha ya muoga na anayeelekea kuhishiwa hoja ni matusi .Wewe kama mwanajamvi mwenzangu nakushahuri tu tumia lugha nzuri ili tutambue mchango wako wa fikra ili tujenge taifa letu si vema kila anayekwenda kinyume na mawazo yako utumie lugha chafu bali uchukue mawazo yake kama changamoto ya kuifanyia kazi ili upate majibu safi.Naongea toka moyoni nimekusamehe bure maana ndiyo changamoto za kupingana kimawazo. kumbuka kuwa atakayepatikana na hatia atapewa adhabu kwa mujibu wa sheria na si utakavyo wewe.