Pendekeza adhabu 5 kwa mafisadi wa Escrow

je wewe unaweka adhabu hizo kwa mamlaka gani? Maana sheria zinatungwa na bunge pia zinatafsiriwa na mahakama tena sheria hizo zisiwe kinyume na katiba.Tuache kupelekwa kwa hisia zetu bali kanuni na taratibu tulizojiwekea tu na kama kuna madhaifu kwenye sheria basi ni bora kuweka sheria na taratibu mpya zinazofaa.adhabu ulizoorodhesha kwa mujibu wa kosa hilo haziwezi kutolewa mahakamani pia kumbuka bila ushaidi wa kutosha mahakama humuachia huru mtuhumiwa.
 
Silaha ya muoga na anayeelekea kuhishiwa hoja ni matusi .Wewe kama mwanajamvi mwenzangu nakushahuri tu tumia lugha nzuri ili tutambue mchango wako wa fikra ili tujenge taifa letu si vema kila anayekwenda kinyume na mawazo yako utumie lugha chafu bali uchukue mawazo yake kama changamoto ya kuifanyia kazi ili upate majibu safi.Naongea toka moyoni nimekusamehe bure maana ndiyo changamoto za kupingana kimawazo. kumbuka kuwa atakayepatikana na hatia atapewa adhabu kwa mujibu wa sheria na si utakavyo wewe.
 
hao lazima washugulikiwe kama majambazi wanavyokamatwaga, hao mafisadi majizi wana stahili
wapewe adhabu kali na ya kish..nzi hakuna kuwaonea huruma
au wewe unataka waachishwe tu kazi bila kufanywa lolote kama ilivyozoeleka,
 
1.wafilisiwe
2.watobolewe macho.
3. wapigwe kama vibaka
4.wachomwe moto
5.wawekwe hadharani wao na familia zao tuwazomeee majambazi
 
Pesa zirudi na wafilisiwe Mali zao zote na kifungo cha miaka 15 jela
 
Wakisharudisha pesa zote, wakuwe infected with a few diseases halafu wapelekwe kwenye hii dispensary. Haki ya nani hawaponi hata. Ndio watajua watz wangapi wanaishi kwa dhiki kiasi gani
 
Attachments

  • image012.jpg
    image012.jpg
    8.7 KB · Views: 172
  • image011.jpg
    image011.jpg
    9.2 KB · Views: 159
  • image004-2.jpg
    image004-2.jpg
    9.6 KB · Views: 149
  • image014.jpg
    image014.jpg
    10.1 KB · Views: 141
NApendekeza wasipewe adhabu yoyote

*Wapandishwe vyeo,wabaki navyo walivyonavyo.

*Wasirudishe pesa walizoiba,ikiwezekana waongezwe.

Maisha yazidi kuwa tight,tanesco ongezeni makato,bei za bidhaa zipande mara tatu zaidi,
2015 tutakuwa tumejifunza kuwa 2010 tuliingia thietre ya kichwa huku tunaumwa matumbo.
 
Last edited by a moderator:
Kabla ya yote pesa zirudi kwanza!

Pesa kurudi ndugu yangu si rahisi kwani hadi sasa hizo hela wameshazihamisha na kama kuna mahengo wamesha andika majina ya watu wengine. Hapo ni kifungo tu si chini ya miaka 30 au zaidi. Kuna kijana aliiba vyombo vya ndani akahukumiwa miaka 5 sasa hawa je itakuaje
 
Mimi ningependelea wachomwe sindano za sumu then wakifa, maiti zao zikaushwe vizuri....alafu ziifaziwe pale makumbusho ya taifa....pamoja na bango kubwa mbele yao....HAWA NI MAFISADI.....
 
wakati mnafikiria adhabu,napendekeza hati zao za kusafiria zikamatwe.
Wawekwe kizuizini ndani ya pori la selous wakisubiri utaratibu mwingine.
 
Mimi ningependelea wachomwe sindano za sumu then wakifa, maiti zao zikaushwe vizuri....alafu ziifaziwe pale makumbusho ya taifa....pamoja na bango kubwa mbele yao....HAWA NI MAFISADI.....

Exactly!!Alafu wawekwe uchiiii
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom