Penda usikodhania

hata ukija kwa gia ya kishazali hutonipata kamwe kwani mwenzio nshawekezwa mie
ulie tu
ngoja na mimi nikatunge mistari wallah hutoki safarii hii, mara ya kwanza nilikuja kikurya ukaniponyoka..

huko kutwanga chini hata mimi nimepotea maboya kinu hakionekani
 
huyo kijana kapinda aisee
kwani lazima utumie neno la Mungu kumtaka mtu?
 
Duu tuna kazi mnatumia mpaka mistari ya biblia! Inabidi tujipange sawasawa kama Rose Muhando
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…