Kua mkoa tofauti sio issue mfuate huko aliko omba likizo . Ni muhimu kumuwahi kabla hajaolewa baadae usije kuja tena jf kusema unaendelea na uhusiano na X wako wakati ameolewa. Ni muhimu ukamfuatila na kujaribu karata ya mwisho make sure unamfuatilia mpaka mnaonana , ili muweze kuongea uso kwa uso. Ukimpoteza utakuja juta aisee tumia nafasi hii kabla hajaolewa so long anakupenda .ye mwenyewe anajua kuwa alinipenda na bado ananipenda ndo maana nikimuomba nikutane naye hata mazungumzo yanabadilika. Hataki kabisaaa kusikia kukutana na mimi aafu sasa hivi tuko mikoa tofauti.
ha,haa,ha! Karibu siku nyingine
Ukitenda lazima utendwe #jaman kumwamin mwanamke wa chuo ni majanga makubwa I have the same story
Kua mkoa tofauti sio issue mfuate huko aliko omba likizo . Ni muhimu kumuwahi kabla hajaolewa baadae usije kuja tena jf kusema unaendelea na uhusiano na X wako wakati ameolewa. Ni muhimu ukamfuatila na kujaribu karata ya mwisho make sure unamfuatilia mpaka mnaonana , ili muweze kuongea uso kwa uso. Ukimpoteza utakuja juta aisee tumia nafasi hii kabla hajaolewa so long anakupenda .