Penda unapopenda kwanza.

Catherine mm nataka namba 2 na sio namba 1

i thought unachokitaka ungeniambia cjakitaja, nacho ni "msichana mwenye upendo wa dhati". Hivyo unavyovitaka waweza mfanya mpenzi wako ajifunze, hakuna mtu anazaliwa mchamungu, hayo tunayakuta maishani. Hapo kwenye rangi nzuri, maisha kama yapo safi mtoto lazima ashine.
 
Last edited by a moderator:

licha ya hivyo, wanaume wenyewe wanapokuwa na wanawake wazuri sana huwa hawajiamini na pengine hutaka kula gud time tu na kusepa na si kuwa na mpango endelevu.
 
Last edited by a moderator:
licha ya hivyo, wanaume wenyewe wanapokuwa na wanawake wazuri sana huwa hawajiamini na pengine hutaka kula gud time tu na kusepa na si kuwa na mpango endelevu.

Hahahaha mapenzi bwana, hayana formular, mie yalishanichosha
 
Kila kitu kina uzito wake
 
dah....kweli aiseee. nilipenda lkn nkawa najiona kama mtumwa vile..... ila now nimependwa na naona raha ya kupendwa.... nampenda kama anavonipenda....raha kama nini....!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…