mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
hapo DMZ, Mpakani mwa korea zote mbili. Makamu wa rais w US alifika hadi hapo kujionea hali ya mambo. Mpaka hatari kuliko zote duniani.wapi hapo? hebu muwe mnaandika ufafanuzi wa post zenu aseee!!
Demilitarized zone a.k.a DMZ hapo.
Ila jamaa hawana afya nadhani misosi ni shida Korea kaskazini