Kwanini sio Wachina ndio watambulike kama waanzilishi wa Mpira na tuwatambue Waingereza; Kwanini kuhusu simu tumtambue Alexander Graham Bell na sio wengine waliokuja kabla; Kwanini Facebook tuseme ndio baba wa Social Media wakati kuna kina Myspace walikuwepo Kabla ?Najiuliza kwanini sio Jimmy Hogan wa Austria ya 1930 au Magyars 1950 kutambulika Kama waasisi wa kile kinachofananishwa na Total football na waamue kuwalebo Waholanzi ?
Kama Ni hivyo, Je Hungary waliboresha kilichoanza kufanywa na Austria ?Kwanini sio Wachina ndio watambulike kama waanzilishi wa Mpira na tuwatambue Waingereza; Kwanini kuhusu simu tumtambue Alexander Graham Bell na sio wengine waliokuja kabla; Kwanini Facebook tuseme ndio baba wa Social Media wakati kuna kina Myspace walikuwepo Kabla ?
If I have seen further than others, is by standing on the shoulder of the Giants....; Binadamu na Society tunaboresha na kurekebisha kazi inafanywa na wengi hatua kwa hatua kilichofanyika huku au kule mtu anakiongezea na kuboresha..... As for the Credit depends who put the thing in the mainstream...
Majukumu like what ?!!!! Hivi unajua timu kuwa build around someone ? Kuna kipindi kocha anawaambia wewe ukipata mpira muangalie fulani yupo wapi mpe pasi hio ndio ilikuwa kwa Kina Pele, Maradona au hata Messi sasa swali linakuja ukipewa pasi inakuwaje..., watu hawaruhusiwi kukugusa au everything goes unapigwa paranja kila watu wanavyotaka..., Case in Point angalia hapa Cannigia Cameroun walivyomsulubu na Refa anapeta.., na hii haikuwa zamani sana (sasa imagine kilitokea nini kipindi hakuna hata red card au TV za kurudi nyuma na kuona kwamba fulani alimtemea mate mwingine)Hoja ilikuwa ni Majukumu kuwa mengi kwa mshambuliaji wa Sasa kuliko zama zile.
Kama Ni hivyo, Je Hungary waliboresha kilichoanza kufanywa na Austria ?
Je, secretarybird ni nani katika soka?Romario yeye ni nani
Hata sijuiJe, secretarybird ni nani katika soka?
Ingia Goole upate kumjua kiundani.Hata sijui
Poa ngoja nimchekiIngia Goole upate kumjua kiundani.
Ndo Rooney auIngia Goole upate kumjua kiundani.
Hapana...Ndo Rooney au
Nani sasa?Hapana...
Tunapopishana wewe upo kwenye Physical battle Mimi nipo kwenye wajibu au roles za striker wa kisasa tofauti na wa Zama zile.Majukumu like what ?!!!! Hivi unajua timu kuwa build around someone ? Kuna kipindi kocha anawaambia wewe ukipata mpira muangalie fulani yupo wapi mpe pasi hio ndio ilikuwa kwa Kina Pele, Maradona au hata Messi sasa swali linakuja ukipewa pasi inakuwaje..., watu hawaruhusiwi kukugusa au everything goes unapigwa paranja kila watu wanavyotaka..., Case in Point angalia hapa Cannigia Cameroun walivyomsulubu na Refa anapeta.., na hii haikuwa zamani sana (sasa imagine kilitokea nini kipindi hakuna hata red card au TV za kurudi nyuma na kuona kwamba fulani alimtemea mate mwingine)
View: https://youtu.be/KeRlJJbtdHc?si=YWqfp2yoKElsG9pS
Physical battle makes its hard not easier, sasa ukiondoa physical battle ni kwamba defender wa sasa ana shida na hali ngumu sana inabidi atumie akili na vilevile striker wa zamani ana shida zaidi sio akili tu bali inabidi kuhimili physcality na hili ndio lilipelekea hadi watu kuwa na short careers, ilikuwa ngumu mtu kucheza msimu mzima bila kuwa unauguza majeraha. That is factual..., walete kina pele they could easily adapt mpira wa leo, ila huenda ma defender wa kipindi kile leo hii wangepata tabu na ingebidi wabadilisha their way of play...;Tunapopishana wewe upo kwenye Physical battle Mimi nipo kwenye wajibu au roles za striker wa kisasa tofauti na wa Zama zile.
Naam mambo ni kuboresha na doing / dealing with what works kulingana na filosofi tofauti tofauti, na ndio maana huko nyuma nilisema sasa hivi hata world cup haina tena variaties za aina ya michezo tofauti tofauti sababu soko kuu la mpira limekuwa ni Ulaya hivyo watu / academy zinawafundisha watoto wao ili waje / waende kucheza Ulaya kwenye pesa (hence tumepoteza varieties kama ambavyo kipindi kile kulikuwa kuna aina ya uchezaji ya Brazil, Africa n.k.)Na ukisema siku hizi mpira Hakuna mabadiliko yalianzia huko hayakuja ghafla so tutarudi kwa waasisi wa mabadiliko wakiwemo kina Austria na wenzao kwa kufanya Mambo kimbinu na kisayansi.
Kwanini kuwepo na lawama ? the game has evolved, kwa mtizamo mwingine anaweza kusema for the better na mwingine for the worse..., Ingawa sheria kuwa nyingi (kumlinda striker) kumefanya mchezo huu kuwa kama basket.., ila ndio hivyo kama Striker ana thamani ya ma bilioni ya pesa ni lazima and it makes sense kwa asset hio kuwa protected.... Mfano kuna Sheria nyingine inakuja mbioni Wenger's Law...Na Leo tupo hapa unafikiri Nani alaukiwe kwa mtazamo wako ?
Ni Mimi.Nani sasa?
Unafikiri ipi Ni Sababu timu nyingi za Uoaya kucheza mchezo wa Kuvizia zinapokutana na timu za America ?varieties kama ambavyo kipindi kile kulikuwa kuna aina ya uchezaji ya Brazil, Africa n.k.)
Kipi kigumu Kati ya kutumia Nguvu au akili rejea kwaPhysical battle makes its hard not easier, sasa ukiondoa physical battle ni kwamba defender wa sasa ana shida na hali ngumu sana inabidi atumie akili
Aya wewe ni nani kwenye sokaNi Mimi.
Nadhani haujanielewa Mfano Brazil mfumo wao wa mpira ulikuwa based on individual skills and showmanship (watu kama kina Neymar, Pele n.k.) sasa sababu soko kubwa ni Ulaya academy nyingi zinafundisha watoto ili waje waende kucheza ulaya (ndio kuna pesa) hence zile theme za kufurahisha watu za kina Okocha, Neymar na watu kama hao zinakuwa zinakatazwa kwamba zinapoteza muda thus ndio maana workcup za zamani ulikuwa unapata vionjo tufauti kutokana na nani ndio nani jambo ambalo sasa hivi limepunguaUnafikiri ipi Ni Sababu timu nyingi za Uoaya kucheza mchezo wa Kuvizia zinapokutana na timu za America ?
Kama wanafanan ni kipi kinawafanya kucheza kwa Uoga na kujificha kwenye kivuli Cha kudai ni nidhamu ?
Napoangalia Copa America sioni Kama watafanana na Ulaya Mana huwa naona wao bado mpira wa kujieleza upo kulinganisha na hao wanaocheza ule wa kuchonga.
Kwanza kabisa kusema kwamba kuna watu hawana akili za kimpira ni kukosea mtu mpaka anaingia uwanjani sio kwamba walikuwa ni mijitu isiyo na akili na vilevile wangeweza ku adapt; na ukiongelea Brazil (watu waliokuwa wanafilosofi ya Beatiful game) ni kwamba skills zilikuwa ni jambo muhimu lazima uwape entertainment watazamaji sio kushinda mechi pekee..., ndio maana kulikuwa na wachawi wa vyenga kina Garrincha ( na tukiongelea Pele alikuwa a complete player) he could dribble, shoot, had pace n.k. kwahio angeweza ku adapt different plays... Unaweza kusema sasa hivi mpira wa timu nyingi ni High Tempo au kuhitaji kukaba hata ukiwa striker (jambo ambalo linaweza kuhitaji mtu uwe na stamina na uangalie afya yakp); lakini vilevile bright players hata slow players they can adapt mfano mtu kama Pirlo unaweza kusema hana pace lakini he is known for his vision, technique, creativity, passing, and free kick ability.Kipi kigumu Kati ya kutumia Nguvu au akili rejea kwa
Mastriker wajanja wajanja vs maguvu ukweni .
Sasa kama buti (nisiseme maguvu) ilikuwa ruksa tofauti na sasa huoni hapo kuna utofauti..., pia kumbuka nilisema na ninasema tena defenders wa sasa they are complete players kuliko wa zamani sababu wa sasa hivi a lot is required from defenders (not only defending) and there is less they can do at their disposal kuweza kumzuia striker...Nafikri kutumia maguvu pia yaweza kuwa mchezo wa mtu na Sio Zama Mana hata Sasa wapo .
Mrange wa kabange.Aya wewe ni nani kwenye soka