Hakuna wa kukupeleka huko, kukbuka huko siyo Ngorongoro. Issue inaanza na wewe, je una vigezo vya kwenda? I mean mchakato wa kuomba visa unakuhusu wewe as an individual.
Wanapokupigia hela hao ni invitation letter tu, ambayo utaitumia kwenda kuomba visa, lakini swala la visa ni lako wewe na consulate, sanasana wakusaidie kujaza form ya maombi tu.