sawa mbobezi wa pedikama inafuliwa hiyo sio pedi.jifunze maana ya pedi
Povu la nini sasaMkuu acha kuwaibia wadada hiyo bei,huku kanda ya ziwa tunaziuza elfu 5-8 ila bado kuna changamoto wadada wanaona kinyaa kufua damu zao elimu inahitajika kuwaelimisha,binafsi nlifanya hii biashara ila now vyuma vimekaza
Unazitaka?Weka picha
Nataka picha nizishangae tyu siwezi kufua mieUnazitaka?
Nikununulie mkuuMmmh