Wabongo roho mbaya sanaRoho za kibongo tunafurahi wajuu kuja chini, hata ukicheki mipango ya viongoz wao ni kutaka Tajiri ashuke
HahaSasa mtu anatakatisha pesa wanamkamata na akizichafua je itakuwaje .Kweli bin Adam hatuna wema
Wanaita Money Laundering kwa kiingereza,
What is 'Money Laundering'
Money laundering is the process of creating the appearance that large amounts of money obtained from serious crimes, such as drug trafficking or terrorist activity, originated from a legitimate source.
Kwamba ni kitendo cha kufanya pesa iliyopatikana kwa njia haramu ionekane kama vile ni halali/safi. Mara nyingi ni pesa za madawa, rushwa, ujambazi, ugaidi nk.
Na hii inahusisha fedha nyingi nyingi.
TATIZO JACK PEMBA MSHAMBA! MATANUZI KAMA HAYO ANAYOFANYA NI YA WATU WASHAMBA WENYE ULIMBUKENI ULIOPITILIZA HIVYO NI RAHISI SANA KWA WATU KUANZA KUFUATILIA NYENDO ZAKE, HAYA KAZI KWAKE!
HahahahahahaNi yeye namjua....
Naona unasaliveti 😀
Mwizi ni nani? Wahusika wa Escrow,Lugumi,Richmond,Nyumba za serikali hao si wezi? Wamebaki salama ama la?Hii serikali ya Magu hakuna mwizi atabaki salama..
Nimesema hilo hapo juu.TATIZO JACK PEMBA MSHAMBA! MATANUZI KAMA HAYO ANAYOFANYA NI YA WATU WASHAMBA WENYE ULIMBUKENI ULIOPITILIZA HIVYO NI RAHISI SANA KWA WATU KUANZA KUFUATILIA NYENDO ZAKE, HAYA KAZI KWAKE!
Mmmh haramu?? pesa feki au samahani kwa usumbufu bado sijakupataNi kuingiza pesa haramu ktk mzunguko wa pesa ili kuzifanya halali.
Humjui J Pemba ?? sasa unamjua nani??sikujua kama huyu jack pemba ni mtz nilijua ni mkongo 😱
bashiteHumjui J Pemba ?? sasa unamjua nani??
Au unakaa milimani,network haikamati?bashite
Nimesema hilo hapo juu.
Jack ananisikitisha sana. Anakuwa kama mtu aliyetoka Kolomije juzi wakati kakulia Upanga.