S Sam Biz Sam New Member Joined Feb 18, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Jul 28, 2013 #1 Eti PDproxy inakubali kwa modem gani? au ni kwa zile tu zinazokubali kuji-connect hata bila kuwa na hela/bundle?
Eti PDproxy inakubali kwa modem gani? au ni kwa zile tu zinazokubali kuji-connect hata bila kuwa na hela/bundle?
vanmedy JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 2,707 Reaction score 1,417 Jul 28, 2013 #2 utasubiri sana...NOT IN HERE.. Tushachoka ajali
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,932 Reaction score 1,164 Jul 28, 2013 #3 Mkuu, si ungejaribu kwanza. Lakini angalizo lako la zero balance linahusika sana ingawa advance users wao hawachagui basi ila wanajali uharaka tu.
Mkuu, si ungejaribu kwanza. Lakini angalizo lako la zero balance linahusika sana ingawa advance users wao hawachagui basi ila wanajali uharaka tu.
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,076 Jul 28, 2013 #4 Sam Biz Sam said: Eti PDproxy inakubali kwa modem gani? au ni kwa zile tu zinazokubali kuji-connect hata bila kuwa na hela/bundle? Click to expand... Kwani wee unaitumia kwenye modem gani?....🙂
Sam Biz Sam said: Eti PDproxy inakubali kwa modem gani? au ni kwa zile tu zinazokubali kuji-connect hata bila kuwa na hela/bundle? Click to expand... Kwani wee unaitumia kwenye modem gani?....🙂
N Nanomyte Member Joined May 28, 2013 Posts 90 Reaction score 11 Jul 29, 2013 #5 Sam Biz Sam said: Eti PDproxy inakubali kwa modem gani? au ni kwa zile tu zinazokubali kuji-connect hata bila kuwa na hela/bundle? Click to expand... umetumwa nini??
Sam Biz Sam said: Eti PDproxy inakubali kwa modem gani? au ni kwa zile tu zinazokubali kuji-connect hata bila kuwa na hela/bundle? Click to expand... umetumwa nini??
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,388 Aug 6, 2013 #6 Sam Biz Sam said: Eti PDproxy inakubali kwa modem gani? au ni kwa zile tu zinazokubali kuji-connect hata bila kuwa na hela/bundle? Click to expand... Huyu ni SPY beyond doubt angalia hata Join Date yake afu angalia post zake Hapo hutukamati NG'OOOOO mabasi yote tunatembelea kuanzia TTCL mpaka SMILE
Sam Biz Sam said: Eti PDproxy inakubali kwa modem gani? au ni kwa zile tu zinazokubali kuji-connect hata bila kuwa na hela/bundle? Click to expand... Huyu ni SPY beyond doubt angalia hata Join Date yake afu angalia post zake Hapo hutukamati NG'OOOOO mabasi yote tunatembelea kuanzia TTCL mpaka SMILE
Mndengereko JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 7,326 Reaction score 3,446 Aug 19, 2013 #7 njunwa wamavoko said: Huyu ni SPY beyond doubt angalia hata Join Date yake afu angalia post zake Hapo hutukamati NG'OOOOO mabasi yote tunatembelea kuanzia TTCL mpaka SMILE Click to expand... hehehe imekula kwake eehh!!
njunwa wamavoko said: Huyu ni SPY beyond doubt angalia hata Join Date yake afu angalia post zake Hapo hutukamati NG'OOOOO mabasi yote tunatembelea kuanzia TTCL mpaka SMILE Click to expand... hehehe imekula kwake eehh!!
quake Member Joined Sep 11, 2012 Posts 94 Reaction score 65 Sep 7, 2013 #8 jaribu huawei afu nenda zte :tinfoil3:
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Sep 7, 2013 #9 Sam Biz Sam said: Eti PDproxy inakubali kwa modem gani? au ni kwa zile tu zinazokubali kuji-connect hata bila kuwa na hela/bundle? Click to expand... cheki huawei e303 kimox wi-fi
Sam Biz Sam said: Eti PDproxy inakubali kwa modem gani? au ni kwa zile tu zinazokubali kuji-connect hata bila kuwa na hela/bundle? Click to expand... cheki huawei e303 kimox wi-fi