Pdfdrive.com inazingua

Mechanic 97

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
1,015
Reaction score
1,436
Wakuu ni hivi mwezi wa Tano mwisho Kila nikibinya button ya kudownload inkugoba kuendelea kwenye kupakua je ni tatizo la mda mfupi au ndio mabeberu wameamua kulinda teknolojia zao
 
Yah mi pia nimekutana na hilo tatizo ila ndo hivo, nahisi wamepigwa pin.
 
Dah mi nilihisi labda pdf yangu ndio inazingua nikaifuta na kudownload mpya lakini wapi! Mwisho nikadhani labda simu ndio ina tatizo, kumbe ni tatizo la wengi tu! Nimechoka kbsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…