Mkuu sometimes hizo zinasomeka tu kwenye dashboard, ukitaka kujua speed halisi unayopata fanya downloading kwa IDM au torrents client au hata browser kisha angalia speed unayopata
mkuu tuache uongo yaani hii kitu ni noma kwa speed tu (???)...ila kuna wengine bado wanazani ni oongoo!!!! mwenyewe kabla sijaingia nilizani kama ni ujanja lakini sasa nimeona ......