Wewe kwani tatizo lako nini tulia subiri simu acha preshakwa wale waliofanya interview PCCB leo ndo wamemaliza kuwahoji watu kwenye kumbukumbu yangu ndo kwanza kushuhudia interview nyenye watu wangi ukianzia na ile APTUTIDE TEST na nikishuhudia muda mrefu wa interview kwenye kwenye mtihani wa mahojiano maana ulianza trh 03/02/2014 mpaka leo trh 14/03/2012 takribanini mwezi mzima sasa............wadau kwa waliofanya jamaa mnawaonaje
unauhakika halafu naomba niulize hivi kwa taasisi kama ileya serikali au yoyote ila ya serikali itatumia njia za kukugia cm kweli na vp kama hautakuwa hewani kwa kipindi hicho ambacho wao wanakutafuta maana mm nadhani private ndo wanaweza kukupigia cm wakikukosa wanaangalia mwingineWatu wameshapigiwa simu tangu ijumaa na kuanza kupewa taarifa za mwanzo za maandalizi ya mafunzo miezi 3 hadi minne
sijui ila najiuliza kama itatumika njia ya kukupigia cm vp iwapo kama hautakuwa hewani kwa kipindi ambacho wanakutafuta kwani website yao itakuwa na kazi gani maana ni swala ya kuyapachika tuHivi Pccb watatupigia cm au sijaelewa
kihusu uhamiaji bado kimya sana ila story za mjini kwa walioaply ni nying na ukizisikiliza zinaweza kukukatisha tamaa hivyo ni vyema uvute subira tuone kitatokea nini?Wadau kwa wale 2lio apply UHAMIAJI/ MIGRATION usaili bado tuu au ndo majanga?
sijui ndugu ila nadhani ni habari za mjini maana wabongo situn ajuana kwa kuzusha kitu ndugu yangnasikia walioanza kufanya, wameishaanza kuitwa, kuna ukweli?
kwa hiyo kama swala ni kukupigia cm vp wakikutafuta wakakukosa ndo bahati imeondoka hiyo au huwa wanafanyaje kwa organization yoyote ile ya serikaliUliza mwaka 2011 waliajiri pia baada ya interview watu walipigiwa cm