Aptitude test inatafuta ufahamu wa mtu katika nyanja tofauti. Hata ukioneshwa paper yote hutoweza ku-google kila kitu.
Mtu hawezi kupewa passage yakusoma na kujibu maswali, akaenda kuyakuta majibu google sana sana ataambuli majibu mache ya maswali yaliyopo google.
So kama mtu ni kilaza itajulikana tu ukizingatia kuwa kuna interview nyingine inafuata.