Pccb na interview zao

Habari zenu wana jf
naomba kujuzwa mwenye tetesi kuwa pccb wataita lini coz ndo sehemu pekee tunayoitegemea na kuhusu interview zao huwa zinzkuwaje?
natanguliza shukran zangu!
Mkuu ulifanikwa kuitwa kwenye usaili? Vipi ilikuwa wa aina gani japo nahisi watakuwa walishabadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…