Millitarydoctor
Senior Member
- Sep 20, 2019
- 174
- 127
Wadau kwanin PCB wengi wana one na wamebaki kitaa?
Weka dataWadau kwanin PCB wengi wana one na wamebaki kitaa?
haaha mimi nsutafuta udaktari kwa udi na uvumba hata nikiambiwa nanjilinji leo naenda....Tatzo Wote wanataka kwenda dar
Competition kubwa, vyuo vichache ,kushindwa kufikia vigezo vya TCU.Wadau kwanin PCB wengi wana one na wamebaki kitaa?
umesomeka mkuuCompetition kubwa, vyuo vichache ,kushindwa kufikia vigezo vya TCU.
Mfano
Phys-B Chem -B Bios -D huyu ana one ya nane lakini hatoweza kusoma faculty yoyote ya afya.
Mwingine ana
Phys-D, Chem-C Bios-C huyu ana two ya 10 huyu akiomba uwezo wa kuchaguliwa upo japo ana two .
Chemistry na biology ndo Kigezo kikubwa kwa afya walau uwe na C hasa Kama unataka uwe DaktariKupata one PCB haukufanyi wewe usome kile unachokitaka au unachokipenda, inategemea una one ya ngap na vip kuhusu competition
Mfano kwa PCB taker walio wengi wanataka wawe madaktari na hawakumbuk kuwa hapo lazma uwe uko kwenye vigezo stahik lakn siyo kupata one tu. Mfano mtu mwenye one ya 9
Chemistry C
Physics C
Biology C
Huyu anauwezo wa kuchaguliwa bt
Mwenye
Chemistry D
Biology C
Physics B hawez pata au mwenye
Chemistry C
Physics B
Biology D pia hawez pata ingawa zote hapo n 1
sawa sawa mkuu sahihi kabisa..Chemistry na biology ndo Kigezo kikubwa kwa afya walau uwe na C hasa Kama unataka uwe Daktari
Aanzie Certificate ili iwaje?sawa sawa mkuu sahihi kabisa..
na mwenye
PHYSIC C
BIOS C
CHEMISTRY D
anaweza kusoma diploma ya afya kwa kuanzia certificate..?
mkuu kuna mdogo wangu kamaliza mwaka jana ana hizo credit nataka nimfanyie mpango wa afya maana kuna masomo kaharibu hayo kapass fresh ndio maaa nauliza hvyo.Aanzie Certificate ili iwaje?
Vipi umemaliza shule mwaka huu?
Kwa nini tulipata one PGM hatujaenda urubani
Nishawahi jiuliza swali kama hilo na swali langu linaendana kdogo na lako
Dogo hii ni Tanzania usihoji sana

