robbertisaah Member Joined Dec 13, 2019 Posts 46 Reaction score 58 Feb 16, 2022 #1 Sorry wakuu PC yangu haioneshi kitu kwa kioo Ila inawaka then inaanza kuzunguka feni kwa kelele, vipi tatizo linaweza kuwa nini na nnasolve vipi?
Sorry wakuu PC yangu haioneshi kitu kwa kioo Ila inawaka then inaanza kuzunguka feni kwa kelele, vipi tatizo linaweza kuwa nini na nnasolve vipi?
Binadamu Mtakatifu JF-Expert Member Joined Jan 6, 2021 Posts 4,401 Reaction score 9,185 Feb 17, 2022 #2 Nunua nyingine
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,968 Reaction score 22,431 Feb 17, 2022 #3 robbertisaah said: Sorry wakuu pc yangu haioneshi kitu kwa kioo Ila Ina waka then inaanza kuzunguka feni kwa kelel vp tatzo lnaweza kua nn na nnasolv vp Click to expand... Toa memory alafu washa, kuna beep yoyote inapiga?
robbertisaah said: Sorry wakuu pc yangu haioneshi kitu kwa kioo Ila Ina waka then inaanza kuzunguka feni kwa kelel vp tatzo lnaweza kua nn na nnasolv vp Click to expand... Toa memory alafu washa, kuna beep yoyote inapiga?
KANYEGELO JF-Expert Member Joined Nov 12, 2019 Posts 2,304 Reaction score 5,007 Feb 18, 2022 #4 robbertisaah said: Sorry wakuu pc yangu haioneshi kitu kwa kioo Ila Ina waka then inaanza kuzunguka feni kwa kelel vp tatzo lnaweza kua nn na nnasolv vp Click to expand... Fungua toa Ram usafishe then urudishie sent from HUAWEI
robbertisaah said: Sorry wakuu pc yangu haioneshi kitu kwa kioo Ila Ina waka then inaanza kuzunguka feni kwa kelel vp tatzo lnaweza kua nn na nnasolv vp Click to expand... Fungua toa Ram usafishe then urudishie sent from HUAWEI
robbertisaah Member Joined Dec 13, 2019 Posts 46 Reaction score 58 Feb 19, 2022 Thread starter #5 Donnie Charlie said: Toa memory alafu washa, kuna beep yoyote inapiga? Click to expand... Inawakaa then Ina blink kwenye caps lock na num lock kwa pamoja Kama mara 2 then yaanza kuzunguka feni kwa kupiga kelel
Donnie Charlie said: Toa memory alafu washa, kuna beep yoyote inapiga? Click to expand... Inawakaa then Ina blink kwenye caps lock na num lock kwa pamoja Kama mara 2 then yaanza kuzunguka feni kwa kupiga kelel
ragin JF-Expert Member Joined Feb 9, 2015 Posts 7,391 Reaction score 9,387 Feb 19, 2022 #6 unganisha na king`amuzi.
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,968 Reaction score 22,431 Feb 19, 2022 #7 robbertisaah said: Inawakaa then Ina blink kwenye caps lock na num lock kwa pamoja Kama mara 2 then yaanza kuzunguka feni kwa kupiga kelel Click to expand... weka RAM nyingine
robbertisaah said: Inawakaa then Ina blink kwenye caps lock na num lock kwa pamoja Kama mara 2 then yaanza kuzunguka feni kwa kupiga kelel Click to expand... weka RAM nyingine
Acehood JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 1,700 Reaction score 2,904 Feb 19, 2022 #8 Kama ni dell jaribu kushikilia power button na herufi D kwa pamoja.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,370 Reaction score 196,061 Feb 19, 2022 #9 Ngoja waje kukupa muongozo...
mikedean JF-Expert Member Joined Mar 15, 2018 Posts 3,271 Reaction score 4,655 Feb 20, 2022 #10 Jaribu kusafisha feni. Puliza vumbi kwenye feni. Inawezekana feni inazunguka kwa shida