mackie
Senior Member
- Jan 26, 2017
- 141
- 197
Kama nilivyotangulia kusema,nina Hp hd500,Ram 4,procesor 2.6
Nimeinunua ikiwa used product nikafomart kwa kupiga window kila kitu ikawa mpya kbsaa nikaitumia kwa muda wa masaa 3 nikaizima nimeamka kila nikiwasha inaleta vitu kama hivi, nikizima na kuwasha problem inaremain the same..naomba ushauri na uelewa juu ya hili tatizo na nini cha kufanya ili niitumie vizuri...
Sent using Jamii Forums mobile app

it's just little troubleshooting!! Hope it'll helps you! Brother