ikiumasema
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 923
- 1,305
Sasa mkuu wewe ulichukua hatua gani...au uliamua kubaki nayo tu hiyo windowHii Windows 10 inatafuna bando si.mchezo. Niliwahi jaribu kudisable background data lakini haikufaa kitu.
Ilishe dawa ya minyooKwa wenye ujuzi wanisaidie...laptop yangu ni HP natumia window 10...tatizo nikunganisha kwenye internet via simu au moderm hata kama sijatumia kusearch program kwenye mtandao data zinakwisha within short time...let say 1GB kwa saa moja au mbili...nifanyeje...msaada tafadhali
Mkuu kuwa serious basiIlishe dawa ya minyoo
Mbona nko serioslyMkuu kuwa serious basi
Nop vodacomMbona nko seriosly
Mkuu c unatumia internet ya tigo au
Shukrani mkuu...ubarikiwe sanaWeka wifi connection yako kama "Metered Connection" hii itazuia Windows kufanya updates.
Then install GlassWire firewall hii program itakuonyesha nini kinatumia mtandao wako.
Firewall Software by GlassWire
View attachment 712338
[emoji23][emoji23][emoji23]Ilishe dawa ya minyoo
Poa ulete majibu!Shukrani mkuu...ubarikiwe sana
Kuna watu mna majibu ka mmezaliwa kwenye madanguroIlishe dawa ya minyoo
Mkuu tatizo la jibu langu liko wapi?Kuna watu mna majibu ka mmezaliwa kwenye madanguro
Nenda disable Automatic windows update.. Ukiacha ikiwa auto ukiweka net tu inaji update yenyewe kwahiyo inakula mb ..Sasa mkuu wewe ulichukua hatua gani...au uliamua kubaki nayo tu hiyo window
News Alert: - Disable windows updates mileleKwa wenye ujuzi wanisaidie...laptop yangu ni HP natumia window 10...tatizo nikunganisha kwenye internet via simu au moderm hata kama sijatumia kusearch program kwenye mtandao data zinakwisha within short time...let say 1GB kwa saa moja au mbili...nifanyeje...msaada tafadhali