Pc yangu ina tatizo naombeni msaada.

Pc yangu ina tatizo naombeni msaada.

Dancan

Member
Joined
Aug 6, 2013
Posts
52
Reaction score
9
Habari zenu ndugu.
Nina pc ya acer kila niki install game inakubali lakini nikisha click button ya finish inaniletea ujumbe ambao unasomeka 'WINDOWS CAN CHECK ONLINE FOR A SOLUTION TO THE PROBLEM THE NEXT TIME YOU GO ONLINE',naombeni mnisaidie.kwan kila game niki instal inakataa,lakini kuna game ambayo ipo kwanzia mwanzo(zuma) yenyewe hainanatizo
 
Mkuu unatumia Windows gani na je hiyo game inaitwaje?

Lakini nafikiri hiyo game inakuja na component iitwayo "cache" ambayo ni lazima ipate access kutoka kwenye internet ili iweze kuchezeka kwa uzuri.

Ila kabla hujaendelea na installations kwenye PC yako jaribu kuangalia kama kwenye HDD un nafasi ya kutosha kuweza kubeba ujazo wa software ya game yako na pia uwezo wa PC yako kufanya kazi kwa kasi inayotakiwa.

Mahitaji ya PC yako ili uweze kuingiza Game yako.

Operating System: Windows XP/Vista/7 (kumbuka kama ni XP microsoft wanaacha kutoa support ifikapo nwezi February 2014)

System Requirements:

Minimum system requirements:

Processor (CPU): Intel from 2.2 GHz or equivalent AMD Family

RAM: minimum of 1.5 GB for Windows 2000/XP, 2 GB for Windows Vista / 7

Free hard disk space: At least 3.5 GB

Fanya new installation tena na jaribu kufuata ushauri wa hapo juu.
 
natumia window 7 ultimate,kama inahitaji access ya internet mbona kwenye pc nyingine inakubali direct?pia HDD ni kubwa sana,na ina space yakutosha..RAM 2,
Na game mojawapo iliyokataa ni EURO TRUCK SIMULATOR 2.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom