Mzenjibar JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 234 Reaction score 329 Mar 23, 2015 #1 Habari wana jamvi? Laptop yangu imezima baada ya kupokea simu ukiwasha inasema press escape key,,,,msaada wenu unahitajika
Habari wana jamvi? Laptop yangu imezima baada ya kupokea simu ukiwasha inasema press escape key,,,,msaada wenu unahitajika
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,463 Reaction score 17,958 Mar 23, 2015 #2 Kwa hiyo huja press escape key?
Kizzy Wizzy JF-Expert Member Joined Aug 2, 2013 Posts 3,280 Reaction score 3,792 Mar 23, 2015 #3 Jaribu kutoa betri then rudishia tena washa! Ikizingua tena tafuta fundi.
Mzenjibar JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 234 Reaction score 329 Mar 23, 2015 Thread starter #4 nashukuru wakuu nimefanikiwa