Pc yangu haipunguzi mwanga

Daah kama we ni mwalimu nais somo lako watoto wanafaulu sana unajua kuelezea sorry naomba nikuulize tena hio driver pac solution inapatikana kwenye setting za pc umu au
 
Daah kama we ni mwalimu nais somo lako watoto wanafaulu sana unajua kuelezea sorry naomba nikuulize tena hio driver pac solution inapatikana kwenye setting za pc umu au
Driver pac solution ni free software inapatikana online just google tu utaipata pia unaweza google jinsi ya kuitumia
 
shida sio window mkuu ni video adapter driver tu unahitajika kufanya update kwenye video adapter driver itakuruhusu uweze kupata option zote zakuongeza nakupunguza
 
Attachments

  • update.png
    8.2 KB · Views: 45
shida sio window mkuu ni video adapter driver tu unahitajika kufanya update kwenye video adapter driver itakuruhusu uweze kupata option zote zakuongeza nakupunguza
Mkuu pc yangu inakua inaonesha kama hivo
 
Sasa tatizo la pc yangu ni kwamba mwanga ni hafifi na nimejaribu kuongeza lakini nimeshindwa
 
Driver pac solution ni free software inapatikana online just google tu utaipata pia unaweza google jinsi ya kuitumia
Mkuu nimejaribu kuingia google kuserch hio driver pac but nikiingia google nakuta site ziko nyingi nashindwa kuelewa niingie wap manake kila sehem ninayoingia siipati hio driver yenyewe so kama kuna site ambayo unaweza nipatia niingie nitashkuru piaa
 
Download dimmer kisha install then tumia. Maana kama kuupdate driver ni ishu kwako na kupata offline driverpack umeshindwa sijui tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…