Emmilian paul
Senior Member
- Oct 17, 2015
- 141
- 63
Kuna setting zake mkuu"Ninayo ps 3 controller wireless,nimejaribu kuitumia kwenye computer kwa kutumua usb wire inafanya kazi na ninacheza game zote vyema..
Kwa sasa naitaji kuitumia kama wireless yaan bila kuchomeka usb...je naitumia vp...msaada wakuu
hiyo pc yako ina bluetooth?Ninayo ps 3 controller wireless,nimejaribu kuitumia kwenye computer kwa kutumua usb wire inafanya kazi na ninacheza game zote vyema..
Kwa sasa naitaji kuitumia kama wireless yaan bila kuchomeka usb...je naitumia vp...msaada wakuu
Nisaidie nizijue aiseeKuna setting zake mkuu"
Ndio ina bluetooth na nina tumia window 10hiyo pc yako ina bluetooth?
"Bluetooth",nadhan ulitaka màaisha hiviNdio ina bruetooth na nina tumia window 10
Kweli ina bruetooth.Ndio ina bruetooth na nina tumia window 10
Typing error tu kaka....msaada inawezekana kuitumia kama wirelessKweli ina bruetooth.
Umejaribu scp na ds3 drivers?Unatumia dualshock?au?Typing error tu kaka....msaada inawezekana kuitumia kama wireless
Na ds3 umejaribu?Nimejaribu scp niki install tu ...inafel hata kufanya kazi kwa usb
Hizo ni dualshock?Nimejaribu scp niki install tu ...inafel hata kufanya kazi kwa usb
Naona hazikubali...je kuna namna nyingne aiseeKama pad zako sio sony official basi hazitakubali kwa drivers za scp.
Ok sawa ngoja nijaribu hii...ukisha inunua je una connect namna gani...ama n kuchomeka kifaa hcho na kucheza??Kama Bluetooth itakataa kufanya connection basi ujue hai support hizo drivers, kuna hizi bluetooth zipo madukani kariakoo nilinunuaga kipindi cha nyuma kidogo Tsh 5000/= tu zitakua mkombozi kwako.
View attachment 670706
1. kwenye hio software jaribu ku tick force installNaona hazikubali...je kuna namna nyingne aisee