PC kutokujaa chaji nini tatizo?


Cheki kwenye battery kama unapata msg. Kama hii
Kuscreen shot kwa pc yyte.
Bonyeza window button + prt screen. Usiachie window button kipind unabonyeza prt screen.
Hiyo notification tatizo linaweza kuwa battery au adaptor. Km pc haijai charge ajaribu kuunstall drivers za battery, kisha a-install tena ikiwa vizuri update driver inaweza kusaidia
 
Either battery or adapter kati ya hivyo viwili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…