PC kali hutoipata tena

PC kali hutoipata tena

Nitatembelea Duniani mkuu.

Kwa hyo Laptop ya milioni 4 unalala nayo buza??
Nilikueleza siwezi kueleza ninaishi wapi. Lakini hata kama ninaishi Mbagala rangi 3, sio big issue kwangu. Kitu ninacho kizingatia huwa ni standard ya nyumba niishiyo na miundombinu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom