PC kali hutoipata tena

PC kali hutoipata tena

Hehe heee

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2017
Posts
210
Reaction score
186
*HP Folio 9470m Core i5*
*Brand new slim PC*
7th Generation pc
HD Graphics Display
LED 14" Display
*Brand new PC*
Ram 4GB
Hard disk 500Gb
*Very Very Slim PC*
Processor[emoji116][emoji116][emoji116]
*Intel Core i5 @ 2.5Ghz*
*Backlight keyboard*
Fingerprints scanner
*9.5hrs+ battery power*
Dedicated Graphics Cards
*Price down 780,000/= only*
For serious buyer only
Iko dukani

Receipt & 36 months warranty*

DODOMA TZ
IMG-20181225-WA0063.jpeg
 
Duh yaani nimekuja haraka nikapiga breki ya ghafla. kumbe hiyo ndiyo kompyuta kali ambayo sitoipata tena! Hizi lugha za biashara ni hatari
Kali kutokama na hali harisi ya maisha na wateja zipo nyingi kali, Swali je nikikuwekea Utaweza kuzihimili bei zake.
 
Kali kutokama na hali harisi ya maisha na wateja zipo nyingi kali, Swali je nikikuwekea Utaweza kuzihimili bei zake.
Mkuu hiyo laptop yako hukupaswa kuinadi kuwa ni laptop kali. Hiyo ni ya kawaida saaana.

Kuhusu mimi, binafsi laptop si tatizo kwangu. Ninatumia laptop kali niliyonunua mpya huko Duniani kwa bei ya around 4m TZS. Hii nimetosheka nayo.
 
Natafuta kiwanja Dar es Salaam, offer yangu milioni 3 - JamiiForums

Vipi ulipata Kiwanja cha bei ya laptop yako????

Natafuta nyumba yenye vyumba 2 na sebule Buza - JamiiForums

Vipi bado unakaa Yombo Buza? Au umesha hamia masaki
 
Mkuu hiyo laptop yako hukupaswa kuinadi kuwa ni laptop kali. Hiyo ni ya kawaida saaana.

Kuhusu mimi, binafsi laptop si tatizo kwangu. Ninatumia laptop kali niliyonunua mpya huko Duniani kwa bei ya around 4m TZS. Hii nimetosheka nayo.
Sijajua tatizo lako mpaka uweke hizo nyuzi, labda utuambie tatizo nini kwani
Tatizo ilo hapo juu
 
Haa haa haa! Mkuu, ktk dunia hii lazima uwe na uwezo wa ku-burgain ktk manunuzi hasa ktk developing countries. Hata muhindi pamoja na kuwa anaweza kuwa na mali nyingi zaidi lakini anapotaka kununua vitu huwa ana-burgain.

Uwezo wangu ni wa kawaida, lakini si wa kushindwa kununua laptop ya mil 4 ambayo umeiona ni big issue.

Kiwanja nilipata kilichokuwa chauzwa mil. 6 na nikafanikiwa kukinunua baada ya kuburgain bei na muuzaji. Kiwanja hakikuwa issue kihivyo, hakikuwa kiwanja cha mwanzo kununua.

Kuhusu ninapoishi siwezi kueleza eneo ninaloishi. Ila waonesha una mawazo finyu sana, kwako Masaki ndio mwisho wa upeo wako wa kufikiria. Ni sawa na kipofu aliyefanikiwa kuona mbuzi na vifaranga vya kuku kwa miujiza ya Mungu. Kisha anapoelezewa kuwa kuna mnyama mkubwa sana, yeye anasema kama mbuzi!

Ushauri: TEMBEA DUNIANI UJIFUNZE! Kuna elimu kubwa ambayo yapatikana kwa kutembea tu sehemu mbali mbali za dunia.
Ko laptop ulishindwa kubargain ukanunua mil 4. Na kiwanja ukanunua mil. 6 kutoka milioni 3. Big up

Ni kweli masaki ndio mwisho wa upeo wangu. Ila na ww buza ndipo unapo paweza.

Over.
 
Ko laptop ulishindwa kubargain ukanunua mil 4. Na kiwanja ukanunua mil. 6 kutoka milioni 3. Big up

Ni kweli masaki ndio mwisho wa upeo wangu. Ila na ww buza ndipo unapo paweza.

Over.
Mkuu, labda nikueleze tu laptop nilinunua nikiwa Europe. Huko hakuna habari ya kuburgain bei. Bei iliyoandikwa kwenye bidhaa ndiyo unanunulia. Waweka kadi yako ya benki kwenye kijimashine, watia password yako, waiona bei halisi ya bidhaa, una-accept. Watoa kadi yako, unachukuwa risiti yako toka kwenye mashine.

Narudia tena ushauri wa bure: TEMBEA DUNIANI UJIFUNZE
 
Nitatembelea Duniani mkuu.

Kwa hyo Laptop ya milioni 4 unalala nayo buza??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom