PC inauzwa, HP 620

PC inauzwa, HP 620

Hata nikiweka picha hapa ni kazi bure tu maana ni lazima anaetaka kununua aone picha nyingi na halisi. Na baadaye atume mtu wake anayemwamini aje kuona kama yeye atakuwa mbali au aje mwenyewe aone na aridhike na bidhaa. Kwa upande wangu nataka mnunuzi aje ofisini kwangu ili ku-guarantee security and quality in either way.
Hapa jukwaani kuwa matapeli na pia kuna watu na reputations zao, usianze kufikiria utapeli kila wakati na kwa kila mtu. Mimi sijamwambia mtu anitumie pesa kabla ya kupata PC wala sijakataa kutuma picha. Lakini as a seller l have my owner terms kwamba picha nakutumia whatsApp. It is a matter of fact hata niweke picha lakini end of time kama ni mteja utanipigia tu au utanitumia text.
Labda kama wewe unataka kuwa middle man, nitakuelewa kwamba unahitaji picha kutuma kwa watu wako. Hata hiyo, no bad, nicheck kwenye namba hiyo utapata kila aina ya ushirikiano.
Situmii wasap.. Hata sina muda nayo.. Am using only jf
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom