PC inauzwa, HP 620

PSPA Pure'12 udsm

JF-Expert Member
Jan 11, 2013
829
443
Used laptop inauzwa kwa anaeyehitaji, imetumika miezi 4 tu na ipo katika hali nzuri kabisa. Haina tatizo lolote la kiufundi, hivo kwa mnunuzi atapewa warrant ya angalau mwezi mzima incase of any technical fault.

Specifications:
1. Hard disk 320GB storage capacity
2. Ram yake ni 3GB
3. Processor ni 2.5HZ
4. Ina uwezo wa kukaa na chaji hadi masaa sita bila kuichaji
5. Nitakupa bag lake
6. Nitakupa Adopter yake pia.

Bei ni 350,000TZS, lakini maongezi kidogo yapo kwa aliye serious. Muuzaji napatikana Dar es salaam lakini unaweza kuipata popote ulipo Tanzania.

Mawasiliano: 0718 257680
 
Attachments

  • $_86.JPG
    $_86.JPG
    45.9 KB · Views: 42
mkuu hiyo imetumika miezi minne kweli???, mbona ina crack kwenye kioo na michubuko kwenye case...kama upo serious chukua 100,000
 
Used laptop inauzwa kwa anaeyehitaji, imetumika miezi 4 tu na ipo katika hali nzuri kabisa. Haina tatizo lolote la kiufundi, hivo kwa mnunuzi atapewa warrant ya angalau mwezi mzima incase of any technical fault.

Specifications:
1. Hard disk 320GB storage capacity
2. Ram yake ni 3GB
3. Processor ni 2.5HZ
4. Ina uwezo wa kukaa na chaji hadi masaa sita bila kuichaji
5. Nitakupa bag lake
6. Nitakupa Adopter yake pia.

Bei ni 350,000TZS, lakini maongezi kidogo yapo kwa aliye serious. Muuzaji napatikana Dar es salaam lakini unaweza kuipata popote ulipo Tanzania.

Mawasiliano: 0718 257680
Processor ni duo au vinginevyo?
 
Mkuu, we unanunua picha ya PC? Kwa anaehitaji ashanielewa....sema wewe unamalizia bando lako endelea kudeka hapo hapo.
tatzo mmezoea kuuza mbuz kwenye gunia...hv ukiweka picha ya hyp pc kweny huu uzi huoni utakuwa umemrahisisshia mteja ????? kuliko tuanze kusumbuana huko halafu kitu sijakipenda..watanzania mmezoea kuzungushana zungushana tuuuuuuuuu
 
Hata nikiweka picha hapa ni kazi bure tu maana ni lazima anaetaka kununua aone picha nyingi na halisi. Na baadaye atume mtu wake anayemwamini aje kuona kama yeye atakuwa mbali au aje mwenyewe aone na aridhike na bidhaa. Kwa upande wangu nataka mnunuzi aje ofisini kwangu ili ku-guarantee security and quality in either way.
Hapa jukwaani kuwa matapeli na pia kuna watu na reputations zao, usianze kufikiria utapeli kila wakati na kwa kila mtu. Mimi sijamwambia mtu anitumie pesa kabla ya kupata PC wala sijakataa kutuma picha. Lakini as a seller l have my owner terms kwamba picha nakutumia whatsApp. It is a matter of fact hata niweke picha lakini end of time kama ni mteja utanipigia tu au utanitumia text.
Labda kama wewe unataka kuwa middle man, nitakuelewa kwamba unahitaji picha kutuma kwa watu wako. Hata hiyo, no bad, nicheck kwenye namba hiyo utapata kila aina ya ushirikiano.
 
HP620 pentium PC toleo la 2013 leo uuze 350 mkuu tena used?
Sahivi tuko kwenye SSD tushaachana na ma HDD pc mzigo hio kwa ushauri kula 200 kwa ndezi itoke chap ila kwa mjanaja kama mimi utakula 100 tu tena kama nakusaidia tu!
 
Arrogancy!..... Hapo utakuta hata simu unayotumia umepewa na dada aloachiwa na mmewe tena Tecno P5. Sasa unavoleta mbwembwe wakati umekalia sofa za shemeji yako dunia nzima inakuonea huruma tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom