DEVUQUARTER-DEVUKOTA
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 352
- 117
- Thread starter
- #21
Nisha-solve tatizo kaka ila ushauri wako utawasaidia wengine wenye tatizo kama hiloilishawah kunitokea, je ukibonyeza ctrl+alt+del ikaja task manager ukaenda new task na kurun programs na mafile yanaonekana? Meaning screen yako ni nyeus bt cursor pekee ndo yaonekana? Obvious kana ni hvyo mie nilibackup vitu vyangu nikapiga window chini..
Yup ikipungua unagongwa 45, kavu kavu@ Devuquarter;
Aisee kwa fundi wa kawaida Dar... unge acha angalau Hamsini elfu na baada ya uzushi mwingi!
Hivi we mgeni nini humu?ushapigwa changa la mdomo so hupati hata ya soda.
Davinoooo ebunjoo unaitwa huku
Kwa taarifa yako humu tunasaidiana kwa jua na mvua ikibidi kuchangia chochote tunaambizana so usituletee mambo ya Face Book humu
Mpashe huyo kaka:yo:si ombi hel4......
:heh: