juliusJr
Senior Member
- Jul 14, 2016
- 180
- 61
Hey habari za muda huu wakuu kuna PC hapa inanisumbua yan imekua nzito hata apps azifanyi kazi ipasavyo alikua anatumia dada angu sasa nimekuja kugundua ni muda mrwfu window haijafanyiwa updation sasa kila nikijaribu hakuna kinachofanyika yanView attachment 2099229View attachment 2099230
Sasa nilivo connect nika update io window defender lakn kila nikijaribu window update akuna kinachofanyika.
kwahy wakuu naombeni msaada nifanye nini ili niweze kuapdate hii window au kama kuna option nyingine naombane kuelekezwa please