Pc inakoroma spika

King_Villa

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
575
Reaction score
380
heshima kwenu wana jf. PC YANGU INAKOROMA SPIKA SHIDA NI NINI WATAALAM WA JF...
 
Mkuu.@GODFATHER ABIHUDI it's probably a fan at the end of it's life, or a cable has moved and is rubbing against the blades.One of the fans needs lubrication or replacing. Jaribu kusafisha moja ya Feni ndani ya PC au ikiwezekana nunuwa feni Mpya za ndani ya Computer yako funguwa Mlango wake hiyo PC yako kisha safisha Feni au nunuwa feni mpya jaribu kisha unipe feedback
 
heshima kwenu wana jf. PC YANGU INAKOROMA SPIKA SHIDA NI NINI WATAALAM WA JF...

yangu pia inafanya hivyo na soln yake niliyotumia,nimekonect spika wajameni au ni mwendo wa earphone,kuna mtu alinambia liliwahi kumkuta na inasababishwa na vumbi,alichofanya ni kwendaa kwa fundi tv,then wakatumia machine flani kupulizia spika na sasa hv anachekelea
 
Wakuu asanten sana xaxa nachekelea mbaya coz ilikuwa inaniharibia utamu wa music....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…