Nimefanya hivyo na hiyo ni compatible kabisa lakini wapiMkuu jaribu kudownload directly website ya lenovo hio driver then replace driver ya sasa.
Kwanza kwanini una drivers mbili za intel?Hizo intel version zote miyeyusho hapa natumia microsoft
View attachment 2176350
Drivers mbili zimetokana na harakati za kutatua tatizo ila awali nilikuwa na driver moja ya intel ambayo niliipata kwenye system update ya lenovoKwanza kwanini una drivers mbili za intel?
Un install zote hizi intel HD manual download toka site ya intel latest version
Support for Intel® HD Graphics 4600
Support product highlights, featured content, downloads and more for Intel® HD Graphics 4600www.intel.com
hilo tatizo huwa linatokea unapoweka update driver inasababisha display kuchange yenyewe driver kutoka intel kwenda basicPc yangu nayo ni 4th generation
Precessor ni intel core i5
hizo driver mbili moja ya zamani nyingine update inaweza zikawa hata tatu au nne driver ukifanya upadate ya zamani haiondoki inabaki incase update ikakuzingua unarollback version ya nyumaKwanza kwanini una drivers mbili za intel?
Un install zote hizi intel HD manual download toka site ya intel latest version
Support for Intel® HD Graphics 4600
Support product highlights, featured content, downloads and more for Intel® HD Graphics 4600www.intel.com
Nashukuru sana kwa mwongozo ila bado wazo la kupiga windows sijalipa kipaumbele kwasababu itachukua muda mrefu kuja kuifanya pc yangu iwe kamilifu kama ilivyo sasahilo tatizo huwa linatokea unapoweka update driver inasababisha display kuchange yenyewe driver kutoka intel kwenda basic
mara nyingi kwenye mashine za zamani hasa ukitumia windiw7 ilikuwa inatokea ukiply HD video kwenye VLC
Inakuletea ujumbe inachange driver kwenda Basic DISPLAY Then inarecover kurudi intel
sasa hapa kuna mawili
pengine update driver ndio ilioleta hiyo shida hata ukisema urollback old version inakuwa kipengele
hvyo nachifanyaga huwa nareinstall WINDOW upya kisha naweka driver oficcial kutoka site husika naangalia Window ninayotumia ni version ipi basi naweka ile ya mwanzo
ukiingia site support ya lenovo utakuta intel graphics driver 4600 ila zipo labda version tatu tofauti kulingana update unaweza ukakuta ya 2015 2016 na 2020
basi mm huwa nadownload ya mwanzo kabisa ile old version
then ninstall manual kisha naangalia tatizo limetatuka ikishindikana natumia WINDOW 7 nafuata hatua hizohizo
ikibuma
basi ikibuma naaupdate BIOS ili iendanae na upadate za sasa
kama ikikataa
basi nanyoosha mikono nakubali intel graphics ishacorupt ingekuwa desktop ungeweka card
basi huwa natumia hiyohiyo basic DISPLAY kwa window 7
mana window 10 Kipengele itakuwa inajiupadate hivyo inakuwa inachange automatic
so na wewe unakuwa unalazimika kuchang e manual
Bios ni update kama vile unavyoinstall WINDOWNashukuru sana kwa mwongozo ila bado wazo la kupiga windows sijalipa kipaumbele kwasababu itachukua muda mrefu kuja kuifanya pc yangu iwe kamilifu kama ilivyo sasa
Wazo la ku updates bios nililipata na nilichokifanya ni ku run ile update tool ya lenovo ambayo ina detect driver yeyote ambayo iko outdated nakui update lakini sikuona update yeyote ya bios
Lakini kingine nahisi hata windows update nayo imechangia, kwasababu zamani hata ambavyo ilikuwa inanigomea ku run program kubwa ila ilikjwa inafanya kazi sehemu zingine. Tofauti na sasa ambapo inaweka blank screen halafu inawaka kwa ku freeze na baada ya dakika mbili inakuwa blank tena.
Nafikiria hapa ni uninstall windows updates nione itaniletea mabadiliko gani
Nashukuru kwa maoni
Kama driver ya zamani ilikuwa nzima roll back install version y zamani.Nashukuru sana kwa mwongozo ila bado wazo la kupiga windows sijalipa kipaumbele kwasababu itachukua muda mrefu kuja kuifanya pc yangu iwe kamilifu kama ilivyo sasa
Wazo la ku updates bios nililipata na nilichokifanya ni ku run ile update tool ya lenovo ambayo ina detect driver yeyote ambayo iko outdated nakui update lakini sikuona update yeyote ya bios
Lakini kingine nahisi hata windows update nayo imechangia, kwasababu zamani hata ambavyo ilikuwa inanigomea ku run program kubwa ila ilikjwa inafanya kazi sehemu zingine. Tofauti na sasa ambapo inaweka blank screen halafu inawaka kwa ku freeze na baada ya dakika mbili inakuwa blank tena.
Nafikiria hapa ni uninstall windows updates nione itaniletea mabadiliko gani
Nashukuru kwa maoni
Hiyo ms-doss Ni kama rufus?Bios ni update kama vile unavyoinstall WINDOW
lazima tool uitengeneze kwa USB na unaboot
ushawahi kutumia MS-DOSS basi mfumo wake unashabiana na huo
BIOS update huwezi kukuta katika driver update nilazima urun na boot
ila yenyewe ndo unaitengeneza kwenye WINDOW
Ume un install kwanza hizo drivers? Kupiti device manager kabla ya kuweka driver upya?Imenikatalia yani inayokubali saizi ni hiyo microsoft basic display adapter
Mkuu, embu jaribu kuzidelete hizo drivers ulizodownload ibakisheshe hiyo stocl ya microsoft, halaf uirestart na kisha kuistall hiyo intel display driver, Sema option nzuri ni install OS mpya, tena ufanye kuclean partition yote. Kama kuinstall utaona kipengele kisa inakurudisha nyuma basi jiandae kuendelea kuteseka.Imenikatalia yani inayokubali saizi ni hiyo microsoft basic display adapter
Niki uninstall kupitia device manager pc iki restart tu zinarejeaUme un install kwanza hizo drivers? Kupiti device manager kabla ya kuweka driver upya?
Mkuu mimi mwenyewe pia nahakika hatua ya kupiga window ina asilimia kubwa za kuleta mabadiliko, ila humu kuna program na vitu vyangu vingi ambavyo imenichukua muda mrefu kuviweka.Mkuu, embu jaribu kuzidelete hizo drivers ulizodownload ibakisheshe hiyo stocl ya microsoft, halaf uirestart na kisha kuistall hiyo intel display driver, Sema option nzuri ni install OS mpya, tena ufanye kuclean partition yote. Kama kuinstall utaona kipengele kisa inakurudisha nyuma basi jiandae kuendelea kuteseka.
Kama pc yako ina drivers nying unaweza ukazibackup hizo zengne kasoro hiyo ya display, hii pia itaokoa muda