PC games

PC games

Papakitook

Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
15
Reaction score
3
please mwenye pc games naomba ziwe za action na car racing,mm ninazo igi 1&2,need for speed hotpursuit & most wanted na hitman
 
karibu sana Papakitook , halafu game ulizonazo ndo hizo tu au unayingine zaidi?
 
Last edited by a moderator:
anyway, sio mbay..ningweza kukusaidia tatizo wengine tuko mikoani huku so exchange inakuwa ngumu kidogo..
 
kama upo atown nishtue nikupe PES 2012 na Underground 2. mi sio mpenzi wa kuchezea games pc, ila nawezakukusaidia (for free) kupata game yeyote taja tu wat kinda game u want
 
fifa ninazo bt i am interesting with action and car racing games nipo dsm
 
Nilizonazo ni Underground 2, most wanted , midnight club 2 , WWE na gta
 
kama upo atown nishtue nikupe PES 2012 na Underground 2. mi sio mpenzi wa kuchezea games pc, ila nawezakukusaidia (for free) kupata game yeyote taja tu wat kinda game u want

nipo chuga arifu nikucheki wapi kwa hiyo PES 2012...
 
mie nina, the house of dead,maxpyne,mortalcombat,spider man,zuma revange and delux,nfs,NBA, undeground,na mengine mengi tu kwani upo pande zipi mkuu,
 
Mkuu ubarikiwe tumepata pa kuanzia, shukurani!
ZOTE Tamu!! muhimu net ya ukweli wakati wa kupakua pia mashine ziwe na uwezo wa kucheza Game zenyewe(system requirement) uzuri ni kwamba katika hiyo blog wameweka detail zote.
Kazi ni kwenu!!!!!
 
kama upo atown nishtue nikupe PES 2012 na Underground 2. mi sio mpenzi wa kuchezea games pc, ila nawezakukusaidia (for free) kupata game yeyote taja tu wat kinda game u want

mkuu anomba nisaidie ka naweza kupata NEED FOR SPEED CARBON shukran in advance
 
mkwafi nipe kama siku mbili nidownload, nitakushtua ikiwa ready
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom