PC aiwaki baada ya ku force shut down

PC aiwaki baada ya ku force shut down

man xule

Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
27
Reaction score
11
Msaada PC yangu imegoma kuwaka baada ya baada ya kuzima kwa power batan nifanya hivyo baada ya kuona program moja aitak ku close
 
Msaada kidogo visa card yangu naona ai withdrew ila uni deposit INA kubal xhida itakua nn jaman
 
Msaada PC yangu imegoma kuwaka baada ya baada ya kuzima kwa power batan nifanya hivyo baada ya kuona program moja aitak ku close
Embu toa adapter then chomoa betri alafu uweke tena uwashe machine
 
Back
Top Bottom