Payroll Sheet for Sale

Payroll Sheet for Sale

Joined
Jan 9, 2014
Posts
15
Reaction score
8
Habar zenu wanachama wa JF.

Nina habari Nzuri kwa wote wanaohitaji Payroll calculator/ Sheet kwaajili ya kukokotoa mishahara ya wafanya kazi yenye sifa zifuatazo :

1. Iko updated katika PAYE rates, NSSF, PPF, WCF, na SDL
2. Ni rahisi kutumia.
3. Ina uwezo wa kuweka data za wafanya kazi hadi 600 na ku calculate Payroll ndani ya dakika 1 tu
4. Inakupa Summary za deductions, employee costs na Employer costs
5. Inakupatia calculator ya payslips (Kama utaihitaji)

Na sifa nyingine nyingi tu za kurahisisha kazi ya kukokotoa mishahara ya wafanya kazi ndani ya mda mfupi na kwa usahihi.

Bei ni Kama zifuatavyo:


1- 50 Employees TShs 250,0000
51-100 Employees TShs 450,000
101 -250 Employees TShs 750,000
251-400 Employees TShs 1,050,000
401-600 Employees TShs 1,500,000


Pia tunatoa ushauri wa kitaalamu wa masuala ya Payrolls.

Kwa mawaasiliano Zaidi tembelea;

hu_ba@ymail.com

0712 283960

Karibuni Tujenge Taifa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom