Huwa haionekani kwenye account yako automatically . Mpaka uende kwenye branch yako ya C.R.D.B utaelekezwa na mtu anayejihusisha na e-banking pale utajaza form fulani ukieleza tarehe ya transaction na kiwango kilichokuwa refunded na utaambatanisha hiyo statement ya paypal inayoonyesha tarehe ya malipo na tarehe ya refund .
Hiyo huchukua kamuda kidogo na inabidi uwe unawasumbua mara kwa mara kinyume na hapo....... hizo ndi bank zetu za bongo