PayPal ndani ya Tanzania

mzalendo-wa-tz

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2014
Posts
404
Reaction score
187
Wakuu, napenda kujua, je nikiwa Tanzania naweza pokea hela kwa njia ya PayPal?
 
PayPal API huwa ipo connected na local bank kwa kutumia online transaction card . hapo inawezekana hela yako ikaingia kwenye banka yako
 
PayPal API huwa ipo connected na local bank kwa kutumia online transaction card . hapo inawezekana hela yako ikaingia kwenye banka yako
Jamani me nna shida kwenye verification ya payza inanishinda kwny proof of adress cz wanasema p.o.box hawaikubali hivyo niwekeje proof of adress
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…