kalwani Member Joined Apr 2, 2012 Posts 30 Reaction score 2 Oct 31, 2019 #1 Habari wadau naomba msaada. Je paypal unaweza kulipwa pesa yako ukiwa Tanzania? Na je, webmoney kwa Tanzania inafanya kazi?
Habari wadau naomba msaada. Je paypal unaweza kulipwa pesa yako ukiwa Tanzania? Na je, webmoney kwa Tanzania inafanya kazi?
elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,743 Nov 1, 2019 #2 Paypal Tanzania haipokea pesa labda ucheat kwa kutumia VPN ufungue akaunti kama uko nchi nyingine kalwani said: Habari wadau naomba msaada. Je paypal unaweza kulipwa pesa yako ukiwa Tanzania? Na je, webmoney kwa Tanzania inafanya kazi? Click to expand...
Paypal Tanzania haipokea pesa labda ucheat kwa kutumia VPN ufungue akaunti kama uko nchi nyingine kalwani said: Habari wadau naomba msaada. Je paypal unaweza kulipwa pesa yako ukiwa Tanzania? Na je, webmoney kwa Tanzania inafanya kazi? Click to expand...
kalwani Member Joined Apr 2, 2012 Posts 30 Reaction score 2 Nov 1, 2019 Thread starter #3 elmagnifico, Asante mkuu kwa ufafanuzi unawezaje kucheat kwa VPN
elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,743 Nov 2, 2019 #4 Unaweka location nyingine ila kuitoa nako kunahitaji kucheat kalwani said: Asante mkuu kwa ufafanuzi unawezaje kucheat kwa vpn Click to expand...
Unaweka location nyingine ila kuitoa nako kunahitaji kucheat kalwani said: Asante mkuu kwa ufafanuzi unawezaje kucheat kwa vpn Click to expand...
buyoya419 JF-Expert Member Joined Oct 20, 2017 Posts 630 Reaction score 511 Nov 2, 2019 #5 kalwani said: Habari wadau naomba msaada. Je paypal unaweza kulipwa pesa yako ukiwa Tanzania? Na je, webmoney kwa Tanzania inafanya kazi? Click to expand... Usitumie VPN Jichange tu nunua line ya Safaricom Tanzania zipo 10000 kwa 15000. Then jisajili na Paypal. Hautasumbuka tena utawithdraw mpaka uchoke.
kalwani said: Habari wadau naomba msaada. Je paypal unaweza kulipwa pesa yako ukiwa Tanzania? Na je, webmoney kwa Tanzania inafanya kazi? Click to expand... Usitumie VPN Jichange tu nunua line ya Safaricom Tanzania zipo 10000 kwa 15000. Then jisajili na Paypal. Hautasumbuka tena utawithdraw mpaka uchoke.
elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,743 Nov 2, 2019 #6 Ina mwisho wake ipo siku wataiblock, buyoya419.
Simeone JF-Expert Member Joined Jul 4, 2018 Posts 1,119 Reaction score 1,254 Apr 22, 2024 #7 buyoya419 said: Usitumie VPN Jichange tu nunua line ya Safaricom Tanzania zipo 10000 kwa 15000. Then jisajili na Paypal. Hautasumbuka tena utawithdraw mpaka uchoke. Click to expand... nitapata wapi laini ya safaricom
buyoya419 said: Usitumie VPN Jichange tu nunua line ya Safaricom Tanzania zipo 10000 kwa 15000. Then jisajili na Paypal. Hautasumbuka tena utawithdraw mpaka uchoke. Click to expand... nitapata wapi laini ya safaricom