Tzhacker 000
JF-Expert Member
- Dec 11, 2017
- 659
- 690
Kwa wale wanaohitaji huduma ya PayPal #unataka KUTUMA au KUPOKEA pesa kupitia PayPal nipo hapa kukurahishia kazi, ni DM tu .
TRUST.. π―β
Hii ni kwa wale ambao hawana kabisa akaunti PayPal na wanahitaji kufanya malipo ya bidhaa au kupokea pesa kutoka nje kupitia kwenye simu zao, M-pesa, tigo pesa na Airtel money π€π°π°
Unahitaji huduma ya paypal? nichek DMhujaweka namba
Fees zako?Kwa wale wanaohitaji huduma ya PayPal #unataka KUTUMA au KUPOKEA pesa kupitia PayPal nipo hapa kukurahishia kazi, ni DM tu .
TRUST.. π―β
Hii ni kwa wale ambao hawana kabisa akaunti PayPal na wanahitaji kufanya malipo ya bidhaa au kupokea pesa kutoka nje kupitia kwenye simu zao, M-pesa, tigo pesa na Airtel money π€π°π°
Hello sir. Inbox kama bado unahitajiKuna mtu anahitaji PayPal mkuu
Hello sir, 0712787501 is my number. Anytimehujaweka namba
Hello sir, kindly hit me up on 0712787501 . WhatsApp pia. Hatuwezishidwa kuelewana thanksFees zako?
labda nikucheki kwa kazi nyingine. photoshop uko konki unaiweza hasa?Hello sir, 0712787501 is my number. Anytime
Naam π― πͺπΏlabda nikucheki kwa kazi nyingine. photoshop uko konki unaiweza hasa?
Great. Nimepata hiyo kazi. Ndio naichangamkia hivi sasa. Thanks again mahn π― ππΏlabda nikucheki kwa kazi nyingine. photoshop uko konki unaiweza hasa?
Weka utaratibu tu apa mkuu, dm kufanya nini tenaKwa wale wanaohitaji huduma ya PayPal #unataka KUTUMA au KUPOKEA pesa kupitia PayPal nipo hapa kukurahishia kazi, ni DM tu .
TRUST.. π―β
Hii ni kwa wale ambao hawana kabisa akaunti PayPal na wanahitaji kufanya malipo ya bidhaa au kupokea pesa kutoka nje kupitia kwenye simu zao, M-pesa, tigo pesa na Airtel money π€π°π°
I am surprised myself, utapeli unaanzaga hiviWeka utaratibu tu apa mkuu, dm kufanya nini tena
Watu wana tangaza biashara kama vifaa vya bomu la nyukliaHuwezi funguka humu - this thread is questionable vibaya mno, unatoa huduma na huwi muwazi
Unapokea badala yangu, security ya hela yangu itakuwa wapi?Napokea kwa niaba yako, nadondoa kisha nakuwekea hela zako. Wewe ndiye utaniambia nile ngapi. Hivyo tu
Utapeli unaanzaga hivi nduguWatu wana tangaza biashara kama vifaa vya bomu la nyuklia
Halafu uzi wa mwingine, ma agents kibao ππUtapeli unaanzaga hivi ndugu
One person with multiple accounts. πHalafu uzi wa mwingine, ma agents kibao ππ