Paul Makonda njoo Maswa tunaonewa

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,755
15,234
Watumishi wanauza vifaa tiba vya hospitali , zahanati nyingi zimegeuka magofu, tunaombwa rushwa kila kona ndiyo upate huduma.

Timu Magufuli pamoja na mapungufu yao ya kibinadamu, lakini ndiwo wenye uwezo hata wakuaminika na Wananchi ama kwa kukemea ufisadi na mafisadi ama kuthubutu kwa uwazi kabisa kuwakemea Viongozi na Watumishi wazembe kwenye maeneo yao ya kazi.

Uthubutu wa hayo yote ulihisaniwa na baba yao ki Uongozi ambaye ni JPM. JPM aliwataka vijana wake wasiwe waoga pindi watakapo kuamua jambo. Aliwaeleza bayana ni heri wakosee kuamua kuliko kutokuamua!
 
Muache JPM apumzike hata ukimtaja mara milioni haamki na hasikii. Toa taarifa kwa vyombo husika kama TAKUKURU

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Watumishi wanauza vifaa tiba vya hospitali , zahanati nyingi zimegeuka magofu, tunaombwa rushwa kila kona ndiyo upate huduma.

Timu Magufuli pamoja na mapungufu yao ya kibinadamu, lakini ndiwo wenye uwezo hata wakuaminika na Wananchi ama kwa kukemea ufisadi na mafisadi ama kuthubutu kwa uwazi kabisa kuwakemea Viongozi na Watumishi wazembe kwenye maeneo yao ya kazi.

Uthubutu wa hayo yote ulihisaniwa na baba yao ki Uongozi ambaye ni JPM. JPM aliwataka vijana wake wasiwe waoga pindi watakapo kuamua jambo. Aliwaeleza bayana ni heri wakosee kuamua kuliko kutokuamua!
Boss upo Maswa !! Naomba tafuta muda tuonane japo mara Moja nipo hapa Jija karibu na shishiyu.

Maswa ni wilaya ya madeal vibaya mno. Yaani Hadi ualimu mkuu watu wananunua.
 
Sawa best nitakutafuta
 
Watumishi wanauza vifaa tiba vya hospitali , zahanati nyingi zimegeuka magofu, tunaombwa rushwa kila kona ndiyo upate huduma.

Timu Magufuli pamoja na mapungufu yao ya kibinadamu, lakini ndiwo wenye uwezo hata wakuaminika na Wananchi ama kwa kukemea ufisadi na mafisadi ama kuthubutu kwa uwazi kabisa kuwakemea Viongozi na Watumishi wazembe kwenye maeneo yao ya kazi.

Uthubutu wa hayo yote ulihisaniwa na baba yao ki Uongozi ambaye ni JPM. JPM aliwataka vijana wake wasiwe waoga pindi watakapo kuamua jambo. Aliwaeleza bayana ni heri wakosee kuamua kuliko kutokuamua!
Maswa ndipo Makonda alipopanda mkomkoteni wa Punda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom