Paul Makonda, Mrisho Gambo waisindikiza Ndege Zimbabwe mpaka Zambia

Leo ndio siku rasmi ndege yetu imezindua safari ya Tanzania-Zimbabwe-Zambia.

Ajabu wakuu wa mikoa Paul Makonda na Mrisho Gambo wameonekana wakisindikiza ndege hiyo, yaani gharama za kutoka Tanzania, Zimbabwe to Zambia kwenda na kurudi eti sababu kubwa ni kushuhudia ndege hiyo ikifanya safari ya Kwanza.

Hongereni wakuu wetu wa mikoa kwa uzalendo uliotukuka.
Picha wakiwa uwanja wa Keneth Kaunda Zambia.View attachment 1029194
Kumbe uwanja wa ndege wa KK umejengwa kama ndege! Waache waanze kulitia hasara shirika kwa kutowaamini marubani kuwa wasingeifikisha huko.
 
Kusindikiza ndege nayo ni achievement.

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
hii awamu tuna kazi,Mu gu turehemu!

Naenda huko lkn ditapanda hiyo ndege

sent using...tecno wereva
 
Nenda akupe wewe mimba kama unamuonea huruma mke wake.
Hamna mtu ana muonea huruma mke wake ila hilo lilikuwa jibu la alimpa mtu mimba kosa asipompa kosa. Jaribu kutoa maoni yanayoendana na jibu siyo ilimradi umeandika. Pole bwana Bashite naona umekuja kivingine hayo yote maisha usikasirike, angalau wewe Ian uwezo wa kimpeleka wako kufanya IVF wenzako hawana mshukuru Mungu kwa hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa gharama za nani kufanya haya kodi zetu aunoesa zetu au ni nani kawatuma?
Leo ndio siku rasmi ndege yetu imezindua safari ya Tanzania-Zimbabwe-Zambia.

Ajabu wakuu wa mikoa Paul Makonda na Mrisho Gambo wameonekana wakisindikiza ndege hiyo, yaani gharama za kutoka Tanzania, Zimbabwe to Zambia kwenda na kurudi eti sababu kubwa ni kushuhudia ndege hiyo ikifanya safari ya Kwanza.

Hongereni wakuu wetu wa mikoa kwa uzalendo uliotukuka.
Picha wakiwa uwanja wa Keneth Kaunda Zambia.View attachment 1029194

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom