MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,358
Ujasiri aliokuwa Paul Makonda ktk maamuzi mbalimbali ya kiuongozi ktk mkoa wa Dar es salaam.
Uwezekano wa Paul Makonda kufika 2020 akiwa RC wa Dar ni mkubwa sana na hasa baada ya kuonyesha ukomavu wa kiuongozi na ujasiri hasa baada ya kusimamia na kuthubutu kuyasoma majina ya washukiwa kuhusu biashara ya madawa ya kulevya hadharani.
Kutembelea municipal zote tano na kusikiliza kero za wanainchi na kusaidia kuzisolve kupitia kwa wataalam aliokuwa anatembea nao ktk hizo ziara zake live au mubashara.
Ana ujasiri mkubwa na kama RC wa Dar na umri mdogo lakini watu wengi wamekuwa wanakimbilia ofisini kwake pale wanapoona hawajatendewa hali ktk Ofisi zingine za umma na taarifa zinaonyesha wanainchi wengi wamefaidika na maamuzi ya Mkuu wa Mkoa ktk kutatua matatizo yao.
Rais Magufuli anapenda viongozi wenye ujasiri na kujiamini ktk majukumu yao ya kazi za kuwatumikia wanainchi.