Makonda ni kiongozi Mzuri sema alikuwa anatumika tu na boss wake kwa maslahi ya boss wake basi.
Ukiondoa huo utii uliompaka matope ni kiongozi kijana mzuri anaejua kufanya kazi kwa weredi
"Nasema, katika mtu anaekula raha sana duniani ni mimi. Mimi ndio mtu naekula raha kuliko mtu mwingine duniani." alisikika kichaa mmoja akinena mbele ya hadhara.
Tena Nape km unanisikia mie kamchukue unywe nae chai mpende tu bure! tena mnooo! huyo kijana!.....ukizidisha upendo atajifia kwa wasi wasi mpende kidogo tu!....adui mpende!