how sir ?
Ninani anatakiwa akusifu wewe mwenyewe ujisifu hapa jf au wananchi uliowahudumia hata hivyo umefanya nini maneno si vitendo ni kawaida kwa Chama chenu kuongea bila utetekelezaji
Umepewa ukuu wa wilaya kwa kazi nzuri ya kumtukana Edward lowasa na kumpiga mzee Warioba,walio kupa ukuu wa wilaya wanaamini unauwezo wa kuwaujumu wapinzani uchaguzi mkuu mwaka huu lkn nikupe pole kwani najua kwa rais atakaye kuja hatakaa na kiongozi kama wewe
Upuuzi makonda unajisifia mwenyewe hamna cha maana ulichofanya zaid ya kumpiga wariobaAlipoteuliwa kuiongoza kinondoni wengi tulishtuka,tukajua atachemka muda si mrefu.
Wengi walihoji kiwango chake cha maadili hasa walipohusisha na sakata la Mzee Warioba.
Lakini bila shaka wote tumeona jinsi kijana mwenzetu alivyombunifu na kujitahidi kushughulikia mambo kwa njia za kiungwana.Ameitisha mkutano kusuruhisha migogoro ya ardhi,amekemea na kuwasaka wezi wa maji,ameanzisha mchakato wa kuvitambua na kuvikuza vipaji vya vijana kule Kinondoni.
Najua bado hajafanya mengi ya kutosha,ila huu mwanzo wake unaweza kutusaidia kuujua mwisho wake.Tumtie moyo na kumshauri njia bora zaidi za kuzidi kuondoa kero za wananchi,kwani hilo hasa ndilo tunalihitaji kwa kiongozi anayeonesha nia ya kulisimamia.
Kukaa kimya na kusubiri ashindwe ili tujekumdhihaki na kumbeza,si uungwana.Tumkosoe na kumuunga mkono inapofaa
Alipoteuliwa kuiongoza kinondoni wengi tulishtuka,tukajua atachemka muda si mrefu.
Wengi walihoji kiwango chake cha maadili hasa walipohusisha na sakata la Mzee Warioba.
Lakini bila shaka wote tumeona jinsi kijana mwenzetu alivyombunifu na kujitahidi kushughulikia mambo kwa njia za kiungwana.Ameitisha mkutano kusuruhisha migogoro ya ardhi,amekemea na kuwasaka wezi wa maji,ameanzisha mchakato wa kuvitambua na kuvikuza vipaji vya vijana kule Kinondoni.
Najua bado hajafanya mengi ya kutosha,ila huu mwanzo wake unaweza kutusaidia kuujua mwisho wake.Tumtie moyo na kumshauri njia bora zaidi za kuzidi kuondoa kero za wananchi,kwani hilo hasa ndilo tunalihitaji kwa kiongozi anayeonesha nia ya kulisimamia.
Kukaa kimya na kusubiri ashindwe ili tujekumdhihaki na kumbeza,si uungwana.Tumkosoe na kumuunga mkono inapofaa
nani nguruwe sasa?