Mkuu ni hivi wala usipate tabu, unaweza kufungulia hayo matusi hata sasa, haijalishi ulijiunga lini kwani sisi pia tuko muda mrefu hapa jukwaani kwani id zetu nyingine zilipigwa ban za maisha kwa hayo hayo matusi. Matusi mimi nanayo kama 1 terabyte hivi lakini hapa sintoweza kuyatumia hapa kwani sio eneo lake, labda ukipenda uone demo nipm tukutane mahali ndio utajua wewe ni cha mtoto. Kama umeamua kumsifia jamaa usidhani kila mtu yuko kihivyo.
Tanzania hatuna uongozi kwenye wenye maono. Mfano ni Makonda, RC wa Dar.
Viongozi hawatekelezi program zao kabla ya kurukia zingine.
1. Hivi Makonda amemaliza swala la ombaomba Dar? Bado, wapo tele.
2. Makonda amemaliza swala la biashara ya ukahaba Dar? Bado, wapo tele..
3. Makonda amerukia Shisha kabla hajamaliza kusimamia maagizo yake ya nyuma!
Kwa viongozi aina ya Makonda, tusahau kuhusu maendeleo endelevu.
Dr Bana amekosoa uteuzi wa nafasi za DAS sasa kama kijana wa CCM anataka cheo akamate Dr Bana atembeze mitama ya kutosha hadharani atapewa ukuu wa wilaya Babati.Tume ya kukusanya maoni ya mabadiliko ya katiba ilikuwa na watu wengi mashuhuri,piga mmojawapo hasa mzee Warioba na Butiku
Tanzania hatuna uongozi kwenye wenye maono. Mfano ni Makonda, RC wa Dar.
Viongozi hawatekelezi program zao kabla ya kurukia zingine.
1. Hivi Makonda amemaliza swala la ombaomba Dar? Bado, wapo tele.
2. Makonda amemaliza la biashara ya ukahaba Dar? Bado, wapo tele..
3. Makonda amerukia Shisha kabla hajamaliza kusimamia maagizo yake ya nyuma!
Kwa viongozi aina ya Makonda, tusahau kuhusu maendeleo endelevu.