Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,415
- 30,423
Acha unaa wewe kisiki cha maendeleo.Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi, Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa, rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.
CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nmesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.
Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.
Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Itakuwa upuuziAMeandika ujinga, kwa mbele kidogo..!! Sijui tuuiteje
Kila kitu ChademaAkiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi, Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa, rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.
CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nmesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.
Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.
Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Kwani ulitaka aandike nini zaidi ya hapo?Mkuu umeandika nini?
Wewe umemuelewa?Kwani ulitaka aandike nini zaidi ya hapo?
Ukute na wewe eti una degree na una GPA ya maana tu tena kutoka chuo cha Maana kabisa. Binafsi naona wahadhiri wetu vyuo vikuu waliopo sasa ndio uwezo wao mdogo. Nina uhakika hata research paper yako uliandika hivi na UKATOBOA KWA KISHINDOAkiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi, Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa, rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.
CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nmesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.
Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.
Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Angalau nimemsoma.Wewe umemuelewa?
Basi sawaAngalau nimemsoma.
Sijaelewa lolote aloe elewa msaada tafadhaliniAkiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi, Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa, rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.
CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nmesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.
Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.
Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Ila wee mkolomije 🤣🤣🤣Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi, Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa, rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.
CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nmesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.
Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.
Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Haya sawa kwa niaba ya CDM makonda tusamehe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi, Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa, rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.
CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nmesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.
Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.
Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Nina uhakika umeandika haya ukiwa uchiAkiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.