Wa kupimwa akili wewe Kiturilo ...Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.
CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nmesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.
Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.
Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Anaonekana yupo soko la kijiji mchana na hana nguo mwilini anajilalamisha.Mkuu umeandika nini?
Hapo bado hajaanza kumlalamikia Mbowe,Lissu na yule dada aliyekuwa mbunge wa CHADEMA.Analalamikia watu hadi anatetemeka.😂😂😂😂Makonda acha basi mambo ya kitoto
Nina imani hata yeye hajui alichoandika!Anaonekana yupo soko la kijiji mchana na hana nguo mwilini anajilalamisha.
Unataka atoroke nchi?😂😂😂😂Serikali iweke sheria ya kupima wananchi wake magonjwa ya akili kwa lazima.
Jamii Forum wekeni utaratibu wa kuhakiki vyeti vinavyoonyesha tumepimwa magonjwa ya akili na kuwa tupo salama.
Utafiti wa hivi karibuni umebainisha wakopaji katika vikoba wengi wao wanakuwa ama na msongo wa mawazo au wanakuwa vichaa, una mkopo wa vikoba Kiturilo.Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.
CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nmesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.
Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.
Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
System inazuia kumfikisha kwa pilato kuhofia kumuumbua aliyekuwa ana mtuma na washirika wake ambao wako kwa sanaa kwenye chain ya utawalaAkiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.
CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nmesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.
Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.
Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Kwamba katumia mkojo kufikiri na kuandika pumba aliyoiandika..!!?? Sa itakuwaje kama mkojo ukikutwa una ugonjwa uliorembeshwa jina na kuitwa UTI sugu wakati ni GONO?Akapimwe mkojo kwa mkemia Mkuu....
Vile vile serikali iweke sheria ya kuchagua nani azae na nani baada ya kuwapima vizazi..!! Maana kumbination zingine ndo zinatoa watu kama KituriloSerikali iweke sheria ya kupima wananchi wake magonjwa ya akili kwa lazima.
Jamii Forum wekeni utaratibu wa kuhakiki vyeti vinavyoonyesha tumepimwa magonjwa ya akili na kuwa tupo salama.
Makonda mbona unajipigia promo?Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi, Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa, rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.